Ghala la Mkulima

Vikundi vya Wakulima na Teknolojia: Mafunzo toka Turiani, Morogoro na Mbozi, Mbeya

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Lyimo-Macha, J. G
dc.contributor.author Batamuzi, E. K
dc.date.accessioned 2018-09-20T07:49:07Z
dc.date.available 2018-09-20T07:49:07Z
dc.date.issued 2002
dc.identifier.isbn 9987 605 55 9
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/273
dc.description.abstract Makala hii inawasilisha ripoti ya ziara mbili zilizofanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba na Novemba 2001. Ziara ya kwanza ya kimafunzo ya wakulima iliwashirikisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Kilosa, Kilombero, Rufiji na Morogoro Vijijini, ambao waliwatembelea wakulima wa mpunga wa Mkindo, Turiani wilaya ya Morogoro. Ziara ya pili iliwajumuisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Mbeya vijijini, Iringa Vijijini, Njombe, Ludewa na Chunya ambao walitembelea vikundi vya wakulima wa wilaya ya Mbozi. Taarifa hii pia inapatikana katika lugha ya kiingereza. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher TARP II Project - SUA en_US
dc.relation.ispartofseries TS;2 - 33
dc.subject Teknolojia en_US
dc.subject Zana en_US
dc.subject Mafunzo en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.subject Mbarali en_US
dc.title Vikundi vya Wakulima na Teknolojia: Mafunzo toka Turiani, Morogoro na Mbozi, Mbeya en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu