xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2018-07-20T08:18:01Z | |
dc.date.available | 2018-07-20T08:18:01Z | |
dc.date.issued | 2010-07 | |
dc.identifier.isbn | 978-9987-9017-6-0 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/257 | |
dc.description.abstract | Saratani (Cancer) ni ugonjwa unaotokana na seli za mwili zilizopoteza mfumo wake wa kugawanyika na hivyo hazipo katika hali yake ya kawaida. Seli hizo huweza kugawanyika bila mpangilio maalum na kuharibu mkusanyiko wa seli nyingine. Seli za saratani hutokea sehemu moja ya mwili na zinaweza kusambaa sehemu nyingine za mwili kupitia mfumo wa damu na limfu (lymph). Saratani inaweza kuwa ya kurithi au kusababishwa na hali ya mazingira ya vitu mbalimbali kama vile ulaji wa vyakula vyenye visababisha saratani (carcinogenic compounds), km. nyama iliyochomwa mpaka kuungua kidogo, ulaji usio bora, pombe, uvutaji sigara au mionzi hatari, aina ya madini kama “asbestos” na “lead”. Zipo pia baadhi ya saratani zinazosababishwa na virusi kama vile saratani ya shingo ya kizazi. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | COUNSENUTH | en_US |
dc.relation.ispartofseries | Information Series;No. 17 | |
dc.subject | Chakula | en_US |
dc.subject | Lishe | en_US |
dc.subject | Saratani | en_US |
dc.subject | Magonjwa | en_US |
dc.subject | Afya | en_US |
dc.title | Chakula, lishe na saratani - vidokezo muhimu | en_US |
dc.type | Book | en_US |