Ghala la Mkulima

Mwongozo wa mafunzo ya kilimo hai Afrika: Usimamizi wa rutuba ya udongo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-06-22T07:52:16Z
dc.date.available 2018-06-22T07:52:16Z
dc.date.issued 2012
dc.identifier.isbn 978-3-03736-197-9
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/201
dc.description.abstract Wasiwasi unatanda kuhusu uendelevu wa muda mrefu wa sekta ya kilimo. Ardhi yenye rutuba na maji ya kutosha ni muhimu kwa ajili ya kuendeleza kilimo na kaya. Hata hivyo, katika bara la Afrika uzalishaji unaotokana na ardhi umekuwa ukiendelea kupungua kutokana na shughuli za kilimo kilichoshadidi zinazosababisha uharibifu wa ardhi. Sababu kubwa za uharibifu wa ardhi ni taratibu za kilimo zisizokuwa endelevu kama vile kulima kwenye miteremko mikali bila ya kuchukua hatua za kuhifadhi udongo na maji, kulima zao la aina moja tu, utifuaji wa ardhi uliopitiliza, kupungua kwa mazoea ya kupumzisha ardhi bila ya kuchukua hatua stahiki za kurudishia virutubisho vya ardhi, kuchoma mabaki ya mazao, kugeuza misitu na vichaka kuwa maeneo ya kilimo cha kudumu, au matumizi yaliyopitiliza ya misitu kwa ajili ya kuvuna kuni na mbao, mifugo mingi katika eneo dogo la malisho, na kutokuwepo kwa udhibiti imara wa mboji kwenye udongo. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher FIBL en_US
dc.relation.ispartofseries Mwongozo wa mafunzo ya kilimo hai Afrika.;Toleo na. 1
dc.subject Udongo en_US
dc.subject Ardhi en_US
dc.subject Mazingira en_US
dc.subject Kilimo hai en_US
dc.subject Kilimo Salama en_US
dc.title Mwongozo wa mafunzo ya kilimo hai Afrika: Usimamizi wa rutuba ya udongo en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu