Bakari, A
(TARP II-SUA Project, 2002)
Chapisho hili linawasilisha Mwenendo wa Warsha ya Tatu ya Wakulima wa Kanda ya
Mashariki kuhusu uimarishaji wa mahusiano yaliyopo baina ya wakulima wa mazao na
wafugaji. Warsha ilifanyikakatika Kituo cha Don Bosco Mjini ...