Ghala la Mkulima

Kujenga picha ya jamii yetu kwa siku zijazo: sababu na jinsi ya kushiriki kupanga matumizi ya ardhi - Sura ya Pilii

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-06-14T05:37:16Z
dc.date.available 2018-06-14T05:37:16Z
dc.date.issued 2010
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/184
dc.description.abstract Wote tunaiona wazi: watu wameongezeka, miji imekua, mifugo imeongezeka, mashamba mengi zaidi .... Vilevile uharibifu zaidi wa ardhi, uharibifu wa misitu, mmomonyoko wa udongo .... Migogoro mingi zaidi kati ya wakulima na wafugaji, wachimba madini na wafugaji, wanyamapori na watu .... Mahitaji yetu ya kutumia ardhi yanaongezeka wakati wote, lakini eneo la ardhi haliongezeki. Tutafanyaje ili tuwe na matumizi mazuri na ya kuridhisha ya ardhi tuliyonayo, katika mazingira ya hali ya tabianchi na maliasili, pamoja na tamaduni zetu, njia tunazotumia kumudu maisha, matarajio na ndoto za jamii yetu? Kujibu swali hili ndilo lengo la kupanga matumizi ya ardhi. Na kwa sababu ardhi ni ya msingi kwa jamii, mpango wa matumizi ya ardhi unakuwa bora pale tu jamii inaposhiriki kikamilifu kwenye mchakato. Hapo ndipo linapokamilika suala la “ushirikishwaji” kwenye mpango shirikishi wa matumizi ya ardhi, yaani LUP. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.subject Ardhi en_US
dc.subject Uharibifu en_US
dc.subject Misitu en_US
dc.subject Mazingira en_US
dc.title Kujenga picha ya jamii yetu kwa siku zijazo: sababu na jinsi ya kushiriki kupanga matumizi ya ardhi - Sura ya Pilii en_US
dc.type Book chapter en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu