Ghala la Mkulima

Maana ya maendeleo ni nini? Mfano wa Mafia, Tanzania

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-06-13T08:11:41Z
dc.date.available 2018-06-13T08:11:41Z
dc.date.issued 1994-08
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/160
dc.description.abstract Hotuba hii imetolewa tarehe 1 Agosti 1994 Lizu Hotel, Kilindoni, Mafia na Professor Patricia Caplan, BA, MA, Ph.D.Goldsmiths College, University of London ambaye alisema Naona nimepewa heshima kubwa kuweza kupata nafasi ya kuwahutubia watu wengi kama hivi wakiwa na nyadhifa tofauti, leo hii. Pamoja na kunipatia nafasi hii, mimi bado napata wasiwasi kidogo kuongelea maendeleo ya Mafia hasa mimi nikiwa si Mtanzania. Isitoshe, watu wengi wa Mafia wameniita inara nyingi mimi mwenyeji. Nashukuru kw a heshima hiyo tukufu. Heshima hiyo, pia, imenif anya mpaka mimi nione Mafia kama mji w angu w a pili, ambao imejaa w azazi w angu, ndugu zangu, dada zangu, kaka zangu, akina babu na bibi zangu, na marafiki zangu. Miaka 29 iliyopita tangu nifike Mafia mwaka sitini na tano, nimew eza kujif unza mambo mengi, na w atu w amekuw a tayari kunif undisha mambo mengi, lakini kila mara, naona bado yapo mengi ya kujifunza na kwamba nahitaji muda zaidi. Na huenda, kw a bahati mbaya, mengine sikuyajua vizuri, nadhani mtanis amehe. Nimeamua kuzungumza kw a Kisw ahili na nadhani mtakubaliana nami kuw a Kisw ahili changu si kizuri sana lakini mtakuw a radhi kunivumilia na kunisikiliza. Baada ya hayo, machache, naomba sasa tuingie katika maada maalum nitakayoizungumzia leo hii. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Changia Maendeleo Mafia - CHAMAMA en_US
dc.subject Maendeleo en_US
dc.subject Mafia en_US
dc.subject Tanzania en_US
dc.title Maana ya maendeleo ni nini? Mfano wa Mafia, Tanzania en_US
dc.type Presentation en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu