xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2018-06-13T08:11:26Z | |
dc.date.available | 2018-06-13T08:11:26Z | |
dc.date.issued | 2010 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/159 | |
dc.description.abstract | Kufuatia kukamilika kwa Awamu ya Uandaaji wa Maboresho Julai 2008, MKURABITA iliingia katika awamu yake ya Tatu ambayo ni Utekelezaji wa Maboresho. Menejimenti ya MKURABITA ilianza kwa kutekeleza baadhi ya mapendekezo hayo yanayo husiana na urasimishaji wa rasilimali vijijini na hata mijini kwa utaratibu iliyoita “FRONT RUNNERS” kwa mbinu ya Ujengeaji uwezo Halmashauri za wilaya. Katika utaratibu huu MKURABITA ilianza na wilaya kumi ambazo ni Makete, Njombe, Wete, Musoma, Serengeti, Manyoni, Mpwapwa, Mvomero, Rufiji na Nachingwea. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Ofisi ya Waziri Mkuu | en_US |
dc.subject | Mkurabita | en_US |
dc.subject | Halmashauri | en_US |
dc.subject | Wilaya | en_US |
dc.title | MKURABITA nyenzo ya Serikali inayoibukia kuwawezesha wanyonge walio wengi nchini: Kujenga uwezo wa Halmashauri za Wilaya | en_US |
dc.type | Article | en_US |