Ghala la Mkulima

Shughuli za ufugaji kijijini kwa mzee Jongo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-06-13T08:11:00Z
dc.date.available 2018-06-13T08:11:00Z
dc.date.issued 2013
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/157
dc.description.abstract Ufugaji wa kamba na samaki umeanza kuwa ni shughuli ya ujasiriamali ambayo inaweza kuchangia katika kupunguza umasikini kwenye jamii ya ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki. Kama ilivyo kwa shughuli zingine za ufugaji wa viumbe vya majini, ufugaji wa kamba na samaki umepata mtazamo maalumu kutokana na kamba na samaki wanaovuliwa baharini kutokutosheleza mahitaji. Madhumuni ya kitabu hiki ni kutoa muongozo wa mbinu na taratibu zinazofaa katika kufuga kamba na samaki ili kitumike kuongoza wafugaji wadogo katika nchi za Afrika Mashariki. Kumekuwepo na majaribio mengi ya ufugaji wa kamba katika Afrika Mashariki ikiwemo jaribio la FAO mwaka 1998 huko Ngomeni Malindi Kenya na pia wawekezaji waliojaribu kuanzisha mashamba Tanzania kwenye miaka ya tisini. Hata hivyo hakuna ambako mpaka sasa kumeonyesha kutoa matokeo mazuri ili kuweza kuivutia jamii na wawekezaji binafsi kuweza kujaribu shughuli hii inayoweza kuongeza kipato. Pia Ufugaji wa samaki aina ya mwatiko umekuwa ukiongezeka katika maeneo mengi ya pwani ya Afrika Mashariki. Taasisi za utafiti kama vile Taasisi ya Sayansi ya Bahari (IMS) na Idara ya ufugaji wa viumbe vya majini na uvuzi(DASF) vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Asasi kama WIOMSA, WWF na TCMP zimekuwa mstari wa mbele katika kuwasaidia wanavijiji wa ukanda wa pwani ya Tanzania katika juhudi zao za kuanzisha na kuendeleza ufugaji wa samaki. en_US
dc.description.sponsorship European Union en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher ReCoMaP en_US
dc.subject Samaki en_US
dc.subject Bwawa en_US
dc.subject Ufugaji en_US
dc.subject Kamba en_US
dc.title Shughuli za ufugaji kijijini kwa mzee Jongo en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu