Ghala la Mkulima

Uboreshaji Lishe na Afya Kupitia Mikakati Endelevu Ya Kilimo: Mwongozo wa Kitaalam 02

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Ekesa, B
dc.date.accessioned 2018-06-13T08:07:58Z
dc.date.available 2018-06-13T08:07:58Z
dc.date.issued 2010
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/146
dc.description.abstract Utoaji wa makala hii ni sehemu ya mradi wa ushirikiano baina ya CIALCA na MtandaoAfya (HealthNet) TPO ujulikanayo kama “destuli endelevu za kilimo na afya kwa uimalishaji lishe na afya kwa jamii ndogondogo nchini Burundi (upande wa afya Kanda ya Gitera) na Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo- DR Congo (upande wa afya Kanda ya Butembo). Makala hii imekusudiwa kutumika na wataalam kilimo, wachumi wa masuala ya nyumabani, wataalam lishe, na watumishi wa afya katika kuwajengea uwezo wawezeshaji katika jamii husika (community own resource persons) (CORPs). Matarajio kwa ujumla ni kuimalisha kiwango cha lishe miongoni mwa wanajamii kupitia destuli sahihi za ulaji na mikakati endelevu ya kilimo. Maudhui yaliyomo katika makala hii yalichambuliwa kufuatia mapungufu yaliyoonekana katika ngazi ya jamii kupitia mahojiano ya vikundi na mapitio ya kaya. Mwongozo huu kwanza unaelezea mlolongo unaojumuisha kilimo, lishe na afya. Halafu, unatoa elimu ya msingi ya lishe juu ya aina za virutubishi na vyanzo vyake katika maeneo husika. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Healthnet TPO en_US
dc.subject Afya en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.subject Lishe en_US
dc.title Uboreshaji Lishe na Afya Kupitia Mikakati Endelevu Ya Kilimo: Mwongozo wa Kitaalam 02 en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu