Ghala la Mkulima

Nakala ya ufugaji wa nyuki (1)

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Gregory, P
dc.date.accessioned 2018-02-23T12:55:59Z
dc.date.available 2018-02-23T12:55:59Z
dc.date.issued 2009
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/119
dc.description.abstract Imetambulika ya kuwa ufugaji wa nyuki inaweza kuwapa watu wa mashambani njia ya kujipatia mapato zaidi. Ijapokuwa ufugaji wa nyuki sio rahisi kila wakati. Nyuki wanaweza kudunga mara nyingi bila kutarajiwa. Uvunaji wa asali inategemea mbinu nyingi kama vile hali ya anga na kwa kupata soko. Asali ya hali ya juu lazima uwe na ubora zaidi. Nta pia ni bidhaa ya muhimu na wakati mwingine huaribiwa. Mwongozo huu wa shambani imetengenezwa ili kusaidia wakufunzi wanaofanya kazi katika Afrika kusini mwa Sahara. Picha yenye rangi ziko na maneno machache. Nakala hii pia inaeleza mbinu rahisi zinazohitajika kuanzisha biashara ya ufugaji wa Nyuki. Pia inatupatia mawazo au mbinu zinazohitajika kuanzisha ufugaji wa Nyuki kwa kutengeneza vyombo vyao wenyewe wakitumia vifaa vya kiasili. Natumaini kuwa hii itasaidia watu kuanzisha ufugaji wa nyuki kwa bei nafuu na labda kufanya majaribio na vitu vipya. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher The Food and Environment Research Agency - FERA en_US
dc.subject Nyuki en_US
dc.subject Asali en_US
dc.subject Nta en_US
dc.subject Ufugaji en_US
dc.title Nakala ya ufugaji wa nyuki (1) en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu