Ghala la Mkulima

Namna ya kutaarisha kitali cha miche

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Bustani ya Tushikamane
dc.date.accessioned 2018-02-23T10:31:48Z
dc.date.available 2018-02-23T10:31:48Z
dc.date.issued 2015
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/112
dc.description.abstract Kitalu ni sehemu maalumu iliyopangiliwa kwa ajili ya kutunzia miche michanga kabla ya kuipeleka shambani ama bustanini. Sio mimea yote inahitaji vitalu ila mimea mingi inahitaji vitalu. Mimea kama mahindi, maharage, karoti, kunde na mchicha haihitaji vitalu. Mimea kama kabeji, vitunguu, sukuma wiki, chainizi, nyanya, bilinganya, hoho, matikiti, matango na mengineyo huhitaji kitalu. Pia miti mingi ya matunda, kuhifadhi mazingira, mbao, dawa nakadhalika huhitaji kitalu. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Bustani ya Tushikamane - Kilimo Hai en_US
dc.subject Kitalu en_US
dc.subject Miche en_US
dc.subject Bustani en_US
dc.title Namna ya kutaarisha kitali cha miche en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu