Ghala la Mkulima

Utafutaji Kwa Somo "Ng'ombe"

Utafutaji Kwa Somo "Ng'ombe"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Kenya Agricultural Research Institute - KARI, 2008)
    Nimonia ya mifugo au Contagious bovine pleuropneumonia (CBPP) ni ugonjwa unaowaathiri mifugo.Jamii tofauti wanayo majina tofauti ya ugonjwa huu.
  • Mwandishi Hajulikani (Sustainable Agriculture Tanzania (SAT), 2015)
    Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki, katika toleo hili kuna makala zifuatazo: - Magonjwa hudidimiza pato la mkulima; - Asilimia 30 wanakula sumu ya kuvu; - Mbolea ya asili inayotokana na magugu maji; - Ugonjwa wa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Biovision, 2012)
    Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki katika toleo hili kuna makala juu ya: Matunzo huleta mafanikio - Ngo'mbe wa maziwa; Panda miti kwa ajili ya mazingira na uchumi; Vitalu vya miti dhahabu iliyofichika; Nyanya ...
  • Mwandishi Hajulikani (Biovision, 2018)
    Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki lenye makala juu ya magonjwa yanayoshambulia korosho, uzalishaji wa chakula bila kutumia kemikali, Jinsi ya kulisha ng'ombe anaekamuliwa na kupata maziwa mengi, Mambo ya kuzingatia ...
  • Mwandishi Hajulikani (Biovision, 2012)
    Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki katika toleo hili kuna makala zifuatazo: Wakulima wanatumia taarifa; Mradi wa ng’ombe, zingatia haya! ; Usiruhusu udongo uharibiwe; Guatemala: Malisho wakati wa kiangazi; Mayai ...
  • Lyamchai, C. J; Kweka, E. S; Mwikari, M. M; Kingamkono, M. N; Wambugu, C (World Agroforestry Centre - ICRAF, 2005)
    Kaliandra (Calliandra calothyrsus) ni mmea aina ya mikunde wenye asili ya Amerika ya Kati na Mexico. Ulipandwa mara ya kwanza nchini Indonesia kwa ajili ya kivuli katika mashamba ya kahawa, lakini kwa sasa mti huo umeonyesha ...
  • Mwandishi Hajulikani (Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania (Mradi wa TARP II - SUA), 2013)
    Maendeleo vijijini hutegemea sana matumizi ya teknolojia. Kwa kuwa zaidi ya asilimia 80 ya Watanzania huishi vijijini kwa kutegemea shughuli za kilimo, ni wazi basi maendeleo yao hayawezi kupatikana bila kuendeleza ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo na Mifugo Blog, 2016-12)
    Ng’ombe wanafugwa kwa ajili ya nyama na maziwa lakini pia hutoa mazao mengine kama ngozi,mbolea na hutumika kama wangyama kazi. Zaidi ya asilimia95 ya ng,ombe na hutumika kama wanyama kazi. Zaidi ya asilimia 95 ya ng’ombe ...
  • Madalla, N; Urio, N; Ngomalilo, G; Mkata, K (2017)
    Kipeperushi kinachoelezea ufugaji bora wa ng'ombe wa mazima - mitamba
  • Mwandishi Hajulikani (International Livestock Research Institute - ILRI, 2016)
    Ndigana kali ni ugonjwa hatari wa ng’ombe unaoenezwa na kupe wekundu wanaokaa katika masikio ya ng’ombe. Ugonjwa huu unasababisha vifo na hasara kubwa kiuchumi.
  • Mbassa, G. K; Mgongo, F. O. K; Luziga, C; Kashoma, I. P. B; Kipanyula, M. J (PANTIL - SUA, 2009)
    Katika nchi za Afrika ya Mashariki, Kati na Kusini magonjwa makuu ya mifugo ni yale yanayosababishwa na viini vidogo vya' chembechembe moja vinavyoitwa Protozoa, ambavyo husambazwa kwa wanyama na aina mbalimbali za kupe ...

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account