Ghala la Taarifa na machapisho ya kilimo
Ghala hili,limebeba machapisho na taarifa mbalimbali za kilimo zilizo rahisishwa kwa matumizi ya wakulima, wafugaji, wavuvi, maafisa ugani na wadau wengine wa kilimo.
Jumuiya katika mkulima
Recently Added
-
Globalpublishers, Globalpublishers
(Globalpublishers.co.tz, 2020-01)
kilimo Bila Udongo,katika teknolojia hii, kinachofanyika ni kujua ili mmea uweze kumea, kukua na kutoa mazao, huwa unahitaji virutubisho na madini gani katika ardhi? Ukishajua mahitaji hayo, basi zinatafutwa kemikali zenye ...
-
Muungwana Blog
(Muungwana Blog, 2018)
Magimbi ni kinga na pia ni tiba kama ambavyo nitakueleza leo faida za magimbi.
-
Mwandishi Hajulikani (Mjasiriamali Hodari, 2018-02)
Nyanya chungu ni zao jamii ya mbogamboga linalotumika kwa matumizi mengi kama mboga, dawa n.k. Zao hili hustawi maeneo yenye halijoto tofauti tofauti nchini Tanzania.
-
Uly Clinic
(Uly Clinic, 2020-04-05)
Mayai ni aina ya chakula muhimu kwa binadamu, huwekwa kwenye kundi la vyakula vyenye protini. Mbali na kuwa na protini mayai ni chanzo kizuri cha vitamini A, B, B12 na D, kolesto kwa wingi na madini ya lutein na zeaxanthin ...
-
Timu ya Medicover
(Timu ya Medicover, 2024-08-05)
Kuku ni chakula kikuu katika lishe nyingi ulimwenguni, sio tu kwa utangamano wake na ladha yake, lakini pia kwa faida zake za lishe. Miongoni mwa faida hizo ni vitamini na madini muhimu ambayo kuku hutoa, ambayo huchangia ...
View more