DSpace at My UniversityThe DSpace digital repository system captures, stores, indexes, preserves, and distributes digital research material.http://10.10.11.5:802024-03-28T16:03:47Z2024-03-28T16:03:47ZKilimo Bora cha Viazi vitamuTaasisi ya KIlimo Naliendelehttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/8342024-02-26T12:02:26Z2022-06-25T00:00:00ZKilimo Bora cha Viazi vitamu
Taasisi ya KIlimo Naliendele
2022-06-25T00:00:00ZKudhibiti kifauongo kwenye mikoroshoTaasisi ya Kilimo Naliendelehttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/8332024-02-26T11:55:53Z2022-06-25T00:00:00ZKudhibiti kifauongo kwenye mikorosho
Taasisi ya Kilimo Naliendele
kifauongo ni mdudu aina ya kifukusi ambaye hushambulia mashina ya mikorosho yanapozidi huweza kuua mkorosho wote. jina la kifauongo hutokana na mbinu yake ya kujifanya amekufa mara anapohisi hatari. baada ya dalili ya hatari huondoka na kuendelea na shughuli zake kama kawaida.
2022-06-25T00:00:00ZUgonjwa wa Blaiti ya Mikoroshotaasisi ya Kilimo Naliendelehttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/8322024-02-26T11:44:54Z2022-06-25T00:00:00ZUgonjwa wa Blaiti ya Mikorosho
taasisi ya Kilimo Naliendele
Blaiti ni moja ya magonjwa makubwa yanayoathiri uzalishaji wa korosho. Ugojwa huu unasababishwa na vimelea aina ya uyoga. Nchini Tanzania ulianza kuonekana mwaka 2004 na kwasasa umeenea katika maeneo mengi yanayolima korosho
2022-06-25T00:00:00ZUjue ugonjwa wa Ubwiriunga wa Mikoroshotaasisi ya Kilimo Naliendelehttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/8312024-02-26T11:42:33Z2022-06-25T00:00:00ZUjue ugonjwa wa Ubwiriunga wa Mikorosho
taasisi ya Kilimo Naliendele
Moja ya matatizo makubwa ya uzalishaji wa mazao ya mikorosho ni ugonjwa wa Ubwiri unga ambao husababishwa na vimelea aina ya kuvu na vimelea hizi huweza kusababisha upungufu wa uzalishaji kwa asilimia 70
2022-06-25T00:00:00Z