DSpace at My University: Recent submissions

  • Mtanzania Digital; Patricia, Kimelemeta (Mtanzania Digital, 2017)
    Shayiri ni zao la nafaka, linalotokana na nyasi zikuazo kwa mwaka‘Hardeum vulgare’ shayiri hutumika hasa kulishia mifugo huku kiasi kidogo kikitumika kutengenezea vileo(Bia na vinywaji vingine) na kwenye chakula chenye nguvu
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania (Tari, 2023)
    Mbaazi ni zao jamii ya mikunde,faida kubwa ya zao hili ni chanzo cha viini lishe vya protini kwa binadamu na wanyama. Linavumilia ukame. Hupunguza umaskini kwani zao hili ni chanzo cha mapato kwa kaya. Hurutubisha ...
  • Sanchez, Monica (Sokoine university of agriculture, 2023-02-21)
    Wakati hali ya joto inapoanza kuwa juu sana, hakuna kitu bora kuliko kujificha chini ya mti, kwani chini yake kuna hali ya hewa ya baridi. Hii si hivyo tu kwa sababu majani huzuia miale ya jua kugonga ardhi, lakini pia ...
  • Tango 
    Bennet (Sokoine university of agriculture, 2023-09-20)
    Hii leo nitaongelea tunda la tango na madhumuni zaidi ni katika kumsaidia mbwa jike kukausha maziwa. Inaweza kutokea mbwa watoto wake wamekua na kuacha kunyonya au watoto wakafariki wakati bado wadogo mara baada ya kuzaliwa, ...
  • Lasway, Octavian J (2022-07-20)
    Jua kali utakabiliana nalo kwa kujua aina ya udongo ulionao mfano kama udongo wako unahifadhi sana maji na jua kali lipo ila bado uhifadhi wamaji ni mkubwa hapa utapaswa kukabiliana na hali hii kwa kumwagilia mara moja ...
  • Kinsey, Erwin (echo community, 2023)
    ECHO hivi karibuni alifanya kazi kwa kuanzisha mpango katika eneo linalokusanya maji na kuharibiwa katika jamii karibu na ofisi ya ECHO Arusha, na pia pamoja na Church World Service na MAP International katika Karamoja, ...
  • Clifford, Diana; walking, David; Muse, Alex (Amerika ya Kaskazini na mradi wa health for animal and liverhood improvement - Hali, 2011)
    Wanyamapori kwenye hifadhi ya wanyama wako chini ya mbinyo wa matishio mbalimbali kama vile ukame uwindaji haramu ujangili mioto na uharibufu wa makazi yao.Tishio jingine kwa wanyama pori ni ugonjwa.
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo (Tari, 2023)
    Mbegu ya mchikichi ina kokwa gumu ambalo linazuia mbegu kunyonya maji ili iweze kuota. Hali hii husababisha mbegu kuwa na ubwete (seed dormancy) yaani hali ya kushindwa kuota. Hivyo ili uweze kuotesha lazima uvunje ubwete ...
  • Mogriculture Tz (Sokoine university of agriculture, 2023-02-28)
    Pilipili hoho kama linavyotambulika kitaalamCapsicum annuumni zao la mboga mboga lenye asili ya Amerika ya Kusini ambako lilisambaa mpaka sasa kulimwa katika maeneo mengi duniani yenyehali ya hewatofauti.Hapa Tanzania ...
  • Horti (Sokoine university of agriculture, 2017-07)
    Wadudu na magonjwa limekuwa tatizo kubwa kwa wakulima wengi na kusababisha uzalishaji mdogo wa mazao. Kupambana na tatizo hili mkulima anashauriwa kutumia mimea mbalimbali ya asili kwa kutengeneza dawa au viuatilifu ili ...
  • Tumbaku 
    Morris, Philip (Philip Morris International, 2019)
    Tumbaku ndio sehemu kuu ya bidhaa zetu. Aina tatu za tumbaku ni Virginia,burley na mashariki.Tumbaku hizi zinalimwa katika zaidi ya nchi 30 zikiwemo Argentina, Brazili, China, Ugiriki, Italia, Malawi, Msumbiji, Uhispania,Tanzania, ...
  • Mpinga, Abbas (kilimo for life, 2022)
  • Malisho 
    Wizara mifugo na uvuvi (Sokoine university of agriculture, 2023)
    Malisho ni chakula cha msingi cha mifugo kinachojumuisha aina mbalimbali za nyasi na mikunde. Utunzaji wa malisho ni muhimu ili kuhakikisha kwamba mifugo inapata chakula bora na cha kutosha wakati wote. Ukuaji na ustawi ...
  • TARP II-SUA Project (Sokoine university of agriculture, 2002)
    Utambuzi yakinifu wa magonjwa ya ndege wafugwao ni mgumu kupita ule wa magonjwa ya mifugo mengine. Hii ni kwa sababu dalili za ugonjwa kwa mnyama hai peke yake hazitoshi kusema ugonjwa usumbuao kwa ...
  • Sanchez, Monica (jardineriaon, 2021-04-30)
  • Mwandishi Hajulikani (WorldVeg and HORTI, 2017-07)
  • Mwandishi Hajulikani (Animal Care Unit, 2018-06-11)
  • Lasway, Octavian J (Holly green agric group LTD, 2022-07-20)

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account