Ghala la Mkulima

Upungufu wa madin ya joto mwilini

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Kimboka, Dr. Sabas
dc.date.accessioned 2022-04-25T05:42:53Z
dc.date.available 2022-04-25T05:42:53Z
dc.date.issued 1994-08-13
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/647
dc.description.abstract Upungufu waa madini ya joto mwilini ni tatizo kubwa la kiafya hapa Tanzania. Idadi ya watu wanaoathirika inakadiriwa kuwa milioni 5.6 au asilimia 25 ya watu wote. Madini ya joto hupatikana ardhini na huchukuliwa na aina zote za viumbe (mimea, wanyama) na maji, vinavyopatikana katika eneo hilo. Kupitia katika vyakufa madini hayo huingia kwenye mwili wa binadamu. Kutokana na mlolongo huo iwapo ardhi ya eneo fulani ina upungufu wa madini ya joto binadamu nao kupungukiwa na hatimaye kupatwa na madhara. Sababu za upungufu wa madini ya joto ni zaidi ya moja, lakini kubwa na ya muhimu niile ya kijiografia. Sehemu za miinuko, kwa miaka mingi tangu kuumbwa kwa dunia, zimepoteza madini ya joto ambayo huchukuliwa na maji (mvua, mito, mafuriko n.k.) na kupelekwa nyanda za nchini yaani bondeni, baharini na kwenye maziwa. Nd'iyo maana tatizo ni kubwa sana katika mikoa yenye miinuko na siyo katika ukanda wa pwani. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Shirika la Chakula na Lishe Tanzania en_US
dc.subject Madini ya Joto en_US
dc.subject Upungufu wa madini en_US
dc.title Upungufu wa madin ya joto mwilini en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu