Ghala la Mkulima

Elimu ya Ujasiriamali: Kuelekea kwenye Maendeleo Endelevu Tanzania

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Muhura, Chiraka
dc.date.accessioned 2022-04-20T11:20:14Z
dc.date.available 2022-04-20T11:20:14Z
dc.date.issued 2021
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/645
dc.description.abstract Nchi nyingi zinazoendelea ikiwemo Tanzania kwa mfano, zimejaliwa raslimali ambazo zinaweza kub- adilishwa kuwa mali. Lakini suala ni jinsi ya kuzigeuza raslimali hizo ili kuwa vitu halisi. Elimu isiyofaa imeelezwa kuwa ndiyo kikwazo kikubwa kinachokwamisha kuzibadilisha raslimali hizo kuwa vitu halisi. Elimu ya Tanzania inasemekana kuwa ni elimu inayowaandaa watu kuwa waajiriwa wa maofsini, japokuwa nafasi za kazi ni chache ukilinganisha na idadi ya watu wanaotafuta kazi za kuajiriwa. Kwa ufupi, elimu yetu haijengi ubunifu na udadisi ambao ungewawezesha watu ama kujiajiri (ujasiriamali) au kuzipanua fursa za ajira ambazo zingewawezesha watu wengi kupata ajira. Fursa za ajira hazijatumiwa kwa kiwango kikubwa kiasi cha kuweza kuwachukua watu wote wenye sifa za kuajiriwa. Chapisho hili kwa hiyo linaibua jinsi elimu ya ujasiriamali inavyoweza kuibadilisha nchi kutoka kwenye utegemezi na kuwa nchi yenye kujitegemea. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Haki Elimu en_US
dc.subject Ujasiriamali en_US
dc.subject Biashara en_US
dc.subject Tanzania en_US
dc.title Elimu ya Ujasiriamali: Kuelekea kwenye Maendeleo Endelevu Tanzania en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu