Ghala la Mkulima

Uanzishwaji na uwezeshwaji wa vikundi vya wakulima wadogo wadogo.

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Hella, Dk. J.P
dc.date.accessioned 2022-04-20T11:16:22Z
dc.date.available 2022-04-20T11:16:22Z
dc.date.issued 2016-06-15
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/642
dc.description.abstract Kikundi cha wakulima ni chombo muhimu katika jamii, kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuleta mabadiliko ya kiuchumi hasa pale vinapoanzishwa kwa kuzingatia sheria na taratibu ambazo wanavikundi wamejiwekea. Mafanikio huwa makubwa zaidi kama wanakikundi hushiriki katika kupanga na kutoa maamuzi ya jinsi ya kuendesha shughuli za kikundi tokea hatua za mwanzo. Kwa kufanya hivyo, na hivyo uwezekano wa kutekeleza yale waliyojipangia huongezeka. Kikundi cha wakulima huanzishwa na kuendeshwa kwa kuzingatia katiba ya kikundi, ambayo hutoa miongozo na maelekezo mbalimbali kwa lengo la kuhakikisha vikundi vinakuwa ni vyombo imara na hai kiuchumi. Aidha uanzishaji wa kikundi hulenga kuwapa uwezo na kuwawezesha wanachama kutekeleza madhumuni waliyojiwekea katika kuboresha hali zao za maisha. Kikundi cha wakulima kinaweza kuanzishwa mahali popote ambapo pana watu walio katika eneo moja linalowawezesha kufanya shughuli zao za pamoja kwa urahisi na ambao wataonesha nia yao kwa kulipa viingilio na hisa. Idadi ya chini ya watu wanaotakiwa kuanzisha kikundi ni kumi. Hata hivyo, idadi pekee haitoshelezi bali la msingi zaidi ni uhai wa kiuchumi. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher PANTIL chuo kikuu cha sokoine cha kilimo en_US
dc.subject Vikundi vya wakulima en_US
dc.subject Wakulima wadogo wadogo en_US
dc.title Uanzishwaji na uwezeshwaji wa vikundi vya wakulima wadogo wadogo. en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu