Ghala la Mkulima

Mitazamo na mienendo ya uwezeshaji wakulima Tanzania.

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Mwaseba, Dismas L .
dc.contributor.author Mattee, Amon Z.
dc.date.accessioned 2022-04-20T11:13:21Z
dc.date.available 2022-04-20T11:13:21Z
dc.date.issued 2010-05-19
dc.identifier.isbn 97 8 998 7 64 0 57
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/640
dc.description.abstract Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeteke1eza tafiti zilizofadhiliwa na Serikali ya Norway kupitia shirika 1ao la NORAD kuanzia na TAN 90, TAN 20 na TARP - SUA, FOCAL na mwishowe PANTIL. Mradi wa PANTIL una lengo la kuboresha maisha ya watu waishio vijijini kupitia mafunzo kwa vitendo, utafiti, na ushauri. Mradi pia unalenga katika kujenga misingi imara ya utafiti na ushauri kilimo na maliasili inayokidhi mahitaji ya jamii za wakulima na kutoa fursa mpya kwao. Aidha, mradi unatilia mkazo, mbinu fungamanishi ya nyanja anuai na maisha endelevu itakayosaidia walengwa kunufaika na huduma zaidi ya tekinolojia ya kilimo na ufugaji bora. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Program u ya PANTIL Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kurugenzi ya Utafiti na Uzamili en_US
dc.subject Wakulima en_US
dc.subject Uwezeshaji wakulima en_US
dc.title Mitazamo na mienendo ya uwezeshaji wakulima Tanzania. en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu