Ghala la Mkulima

Uhakika wa Mbegu kwa Uhakika wa Chakula

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author PELUM Tanzania
dc.date.accessioned 2022-04-19T05:34:21Z
dc.date.available 2022-04-19T05:34:21Z
dc.date.issued 2013-09-13
dc.identifier.isbn ISBN 978-9987-8956-4-9
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/614
dc.description.abstract PELUM Tanzania ni mtandao wa Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali yanayofanya kazi na wakulima na wafugaji wadogo nchini Tanzania. Mtandao huu ulianzishwa mwaka 1995 na kusajiliwa kisheria mwaka 2002. Kazi kuu ya PELUM Tanzania ni kuhamasisha na kuendeleza kilimo endelevu kwa kujenga uwezo wa Mashirika Wanachama kwa njia ya kutandaa, kutunza na kueneza habari pamoja na ushawishi na utetezi. Walengwa wakuu wa PELUM Tanzania ni Mashirika Wanachama ambapo wanufaikaji ni wakulima na wafugaji wadogo wanaohudumiwa na Mashirika Wanachama. Kwa sasa mtandao huu unaundwa na Mashirika Wanachama 33 yanayohudumia wakulima na wafugaji wadogo zaidi ya milioni moja na laki mbili katika mikoa 16 ya Tanzania Bara. en_US
dc.description.sponsorship PELUM Tanzania. en_US
dc.language.iso en en_US
dc.publisher © PELUM Tanzania 2013 en_US
dc.subject Uhakika wa chakula en_US
dc.title Uhakika wa Mbegu kwa Uhakika wa Chakula en_US
dc.title.alternative Mwongozo wa Uzalishaji wa mbegu za asili za mahindi en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu