xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Kisenga, Narcis
dc.date.accessioned 2022-04-13T10:06:56Z
dc.date.available 2022-04-13T10:06:56Z
dc.date.issued 1999
dc.identifier.citation https://portals.iucn.org/library/node/8076 en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/602
dc.description UFUGAJI NYUKI en_US
dc.description.abstract Tokea zama za kale binadamu wamekuwa wakitafuta asali inayozalishwa na nyuki. Kwa azma hiyo shughuli yoyote ya ufugaji nyuki ni kuendeleza zaidi ufanisi wa haya. Binadamu na nyuki hutegemeana. Kwani kwa upande wa nyuki badala ya kuwindwa na kuuawa kwa ajili ya asali yao hutunzwa na kulindwa. Matokeo ya haya siyo tu kupatikana kwa asali na nta bali pia kutambuliwa kwa nyuki kama rasilimali muhimu ya kuhifadhiwa kulindwa na kustawishwa. Ukusanyaji wa asali na nta ni shughuli ya kijadi katika karibu bara lote la Afrika. Wafugaji nyuki wa jadi hutumia mizinga rahisi ambayo njia ya uvunaji asali huluta maangamizo ya makundi ya nyuki. 1 Kwa hiyo iko haja ya kubadilisha njia hii kali ya ufugaji nyuki na kuanzisha ufugaji nyuki mzuri wenye ufanisi zaidi. Huu ni ufugaji wa kutumia mizinga ya masanduku yenye viunzi vya juu au masanduku yenye fremu. Shughuli yenyewe inaweza ikawa ni mradi wa kiwango kidogo ambao unaweza kuendeshwa kirahisi. Nyuki wanasaidia kuchavusha mimea ya asili na ile ya kilimo na biashara. Mizinga haichukui eneo lolote la ardhi na haitegemei pembejeo kutoka nchi za nje. Yeyote anaweza akaanza ufugaji nyuki na familia nzima ikaweza kushirikishwa. Njia nzuri ya kujifunza juu ya ufugaji nyuki ni kufanya kwa vitendo. en_US
dc.description.sponsorship Halmashauri ya Wilaya Rufiji, ushauri unatoka kwa IUCN-The World Conservation Union, na mhisani ni Serikali ya Uholanzi en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher MUMARU (REMP)Mradi wa Usimamizi wa Mazingira Rufiji en_US
dc.relation.ispartofseries TRAINING BOOKLET NO. 1;
dc.subject UFUGAJI, MFUGAJI MPYA, NYUKI, MWONGOZO en_US
dc.title UFUGAJI NYUKI en_US
dc.title.alternative Mwongozo kwa Mfugaji Mpya en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu