xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Mtega, Wullystan | |
dc.date.accessioned | 2022-02-10T06:19:29Z | |
dc.date.available | 2022-02-10T06:19:29Z | |
dc.date.issued | 2020-05-20 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/573 | |
dc.description.abstract | Mkulima anatakiwa kutafuta soko la mazao yake kabla hajaanza shughuli ya uzalishaji shambani. Ili kupata taarifa za kutosha, mkulima anashauriwa kufanya utafiti wa soko. Mkulima anaweza tumia njia kuu mbili: (i) kuandaa dodoso na kuwauliza wadau muhimu wa soko la zao alilozalisha na, (ii) kutembelea masoko ya mazao na kukusanya taarifa kwa njia ya kuona. Utafiti wa soko humwezesha mkulima kutoa maamuzi sahihi juu ya uuzaji wa mazao yake. Katika kuuza mazao, mkulima lazima azingatie sheria, kanuni na taratibu za nchi na soko husika. Pia, ni muhimu kuelewa namna nguvu ya soko inavyofanya kazi. Hii itamsaidia mkulima kujua lini ayapeleke mazao sokoni na hivyo kupata bei nzuri zaidi | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Sokoine university of A griculture | en_US |
dc.subject | Mazao | en_US |
dc.subject | Masoko | en_US |
dc.subject | Kilimo | en_US |
dc.title | Masoko ya mazao ya kilimo | en_US |
dc.title.alternative | MWONGOZO KWA WAKULIMA | en_US |
dc.type | Article | en_US |