Ghala la Mkulima

Faida za kiafya za Mayai

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Uly Clinic
dc.date.accessioned 2024-10-28T05:57:44Z
dc.date.available 2024-10-28T05:57:44Z
dc.date.issued 2020-04-05
dc.identifier.citation https://www.ulyclinic.com/faida-za-vyakula/faida-za-kiafya-za-mayai en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/943
dc.description.abstract Mayai ni aina ya chakula muhimu kwa binadamu, huwekwa kwenye kundi la vyakula vyenye protini. Mbali na kuwa na protini mayai ni chanzo kizuri cha vitamini A, B, B12 na D, kolesto kwa wingi na madini ya lutein na zeaxanthin . Yai huweza kuliwa likiwa bichi, kuchemshwa au kukaangwa. Kama ilivyo kwa baadhi ya vyakula, yai hupoteza virutubisho linapochemshwa kwa muda mrefu au kukaangwa. Vitamin D kwenye yai hupungua kwa kiwango kikubwa endapo yai litapikwa kwa muda mrefu. Hata hivyo kuchemsha au kukaanga yai kwa muda mrefu hupunguza kwa asilimia kwa asilimia 90 hivyo kupoteza umuhimu wake katika mwilini en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Uly Clinic en_US
dc.subject Mayai en_US
dc.subject Faida en_US
dc.subject Kiafya en_US
dc.title Faida za kiafya za Mayai en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu