xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Kinsey, Erwin | |
dc.date.accessioned | 2024-09-02T10:00:27Z | |
dc.date.available | 2024-09-02T10:00:27Z | |
dc.date.issued | 2011 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/903 | |
dc.description | Jarida | en_US |
dc.description.abstract | Ufugaji wa mifugo kiasili ni mfumo wa maisha ambao watu au jamii husika wanaishi maisha yao kwa kutegemea mifugo. Katika ukanda wa Afrika ya Mashariki, wafugaji hawa hutegemea zaidi mifugo ya aiana mbali mbali kama; ng’ombe, kondoo, mbuzi, punda, na ngamia ili kukimu maisha yao na familia zao. Mifugo iliyotajwa, imeorodheshwa kwa kigezo cha kuanzia na lile kundi ambalo sio stahimilivu sana (ng’ombe) na kumalizia na lililo stahimilivu zaidi (punda na ngamia), pia kwa kuzingatia maeneo ya ufugaji kuanzia na yaliyo makame kiasi hadi makame zaidi. Wafugaji hawa wana mchango mkubwa sana katika sekta/idara husika lakini bado hawajaweza kuthaminiwa ipasavyo. Kwa mfano: uwezo wa kutunza/ kuendeleza kizazi cha ng’ombe wa asili. Katika utunzaji wa mifugo yao, wafugaji hawa wana uwezo wa kipekee wa kutumia maeneo yanayokabiliwa na ukame kwa njia ya kuhama hama kwa ajili ya kupata malisho bora na maji. Ni ukweli usiopingika kwamba, katika/ ukanda wa Afrika ya mashariki maeneo ya hifadhi nyingi tunazozifurahia kwa sasa ni matokeo ya wafugaji kuhamahama na kuweza kuyatunza maeneo haya kwa ajili ya malisho na hasa kuweza kuyalinda/kuzuia yasiingiliwe na shughuli za kilimo. | en_US |
dc.description.sponsorship | ECHO | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Echo community | en_US |
dc.relation.ispartofseries | ;toleo namba 03 | |
dc.subject | Mbinu Bora | en_US |
dc.subject | Ufugaji wakuhama hama | en_US |
dc.subject | Mifugo ya kiasili | en_US |
dc.subject | Wafugaji | en_US |
dc.title | Jarida la mbinu bora | en_US |
dc.title.alternative | namna ya kuwasaidia wafugaji wa mifugo ya kiasili | en_US |
dc.type | Article | en_US |