Ghala la Mkulima

Kilimo bora cha apple

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Imani, Rababa
dc.date.accessioned 2024-09-02T09:40:52Z
dc.date.available 2024-09-02T09:40:52Z
dc.date.issued 2017-10-02
dc.identifier.citation www.tanzanianakilimo.blogspot.com en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/898
dc.description.abstract Apple ni moja kati ya matunda yanoyo pendwa sana, na wengine wamefikia mbali hadi kulifanya apple kua tunda la ishara ya upendo, pia kuna aina mbili za matunda ya apple yaani yanoyo liwa bila kupikwa na yale ambayo ni lazima yapikwe ili uweze kuyala.Matunda ya apple hayafanyi vizuri katika maeneo ya joto, huitaji hali ya hewa iliyo tulia na isio kua na joto kali, kutokana na mahitaji haya apple hukua vizuri Tanzania kwenye maeno ya umbali wa 2000- 3000 miters kutoka usawa wa bahari. mfano Mbeya, Arusha na Iringa. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Sokoine university of agriculture en_US
dc.subject kilimo en_US
dc.subject Apple en_US
dc.title Kilimo bora cha apple en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu