Ghala la Mkulima

Uboreshaji lishe kupitia uzalishaji na ulaji wa aharage

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Sokoine University of Agriculture, Mradi wa Food land Mvomero
dc.date.accessioned 2024-08-02T06:58:25Z
dc.date.available 2024-08-02T06:58:25Z
dc.date.issued 2024-07
dc.identifier.citation SUA -Morogoro en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/897
dc.description For public use en_US
dc.description.abstract Lishe ni sehemu muhimu ya afya na maendeleo.Lishe bora inahusisha kuboreshwa kwa afya ya watoto wachanga kuanzia wakiwa tumboni ili kuwawezesha kukua vyema kimwili na kiakili, kujenga kinga imara zaidi, kupunguza hatari ya magonjwa na kuwa na maisha marefu. Watoto wenye afya bora hujifunza mambo kwa haraka na kufanya vyema shuleni.Wanapokuwa watu wazima wana nguvu na uwezo wakujitengenezea nafasi ya kuvunja mzunguko wa umaskini na njaa katika kaya na jamii kwa jumla en_US
dc.description.sponsorship SUA $ Food Land en_US
dc.publisher SUA $ Food land en_US
dc.subject Uboreshaji lishe kupitia uzalishaji na ulaji wa aharage en_US
dc.title Uboreshaji lishe kupitia uzalishaji na ulaji wa aharage en_US
dc.title.alternative Uzalishaji na ulaji wa maharage en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu