xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | BBC NEWS Swahili | |
dc.date.accessioned | 2024-07-30T09:25:20Z | |
dc.date.available | 2024-07-30T09:25:20Z | |
dc.date.issued | 2023-01-07 | |
dc.identifier.citation | https://www.bbc.com/swahili/articles/cd1vlrvkm9lo | en_US |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/896 | |
dc.description | PUBLIC USE | en_US |
dc.description.abstract | Unywaji maji ya limau kumehusishwa na faida nyingi, ikiwa ni pamoja na kuboresha ngozi na usagaji chakula.Ndimu na matunda mengine ya machungwa yanajulikana sana kwa ngozi zao za rangi, zilizo na mashimo na ladha nyororo na yenye kuburudisha. Maji ya limau ni maji ya limau pamoja na maji na yanaweza kuywewa yakiwa ya moto au baridi, pamoja na viongezi kama vile zest ya limau, asali, mint au viungo kama vile manjano au pilipili. | en_US |
dc.description.sponsorship | GETTY IMAGES | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | BBC NEWS | en_US |
dc.subject | Limau | en_US |
dc.subject | Kiafya | en_US |
dc.title | Maji ya limau. | en_US |
dc.title.alternative | Faida za kiafya za maji ya limau. | en_US |
dc.type | Learning Object | en_US |