Ghala la Mkulima

FAHAMU KUHUSU BIASHARA YA MKONGE NCHINI TANZANIA NA CHANGAMOTO ZAKE

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Jamii forum
dc.date.accessioned 2024-07-30T09:22:42Z
dc.date.available 2024-07-30T09:22:42Z
dc.date.issued 2017-01
dc.identifier.citation https://www.jamiiforums.com/threads/fahamu-kuhusu-biashara-ya-mkonge nchini-tanzania-na-changamoto-zake.1772326/ en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/895
dc.description Publi use en_US
dc.description.abstract Mkonge au Katani ni moja kati ya zao la biashara Jina la kisanyansi inaitwa Agave sisalana. Asili ya zao hili ni Mexico na baadae likasambaa katika nchi nyingine, kwa mara ya kwanza lilitambushwa katika nchi za kitropikia na subtropikia India,Tanzania, Brazil, Kenya south Africa, Angola, Mozambique Morocco Uganda, Zimbabwe na Mauritius. Zao la mkonge liliingizwa nchini mwaka 1892 na mtaalamu wa kijerumani Dr. Richard Hindorff ambaye alikuwa ni mtafiti wa mimea na udongo. Mtaalamu huyo alichukua miche 1000 kutoka Pwani ya Mexico kwenye jimbo la Yuctan na kuisafisha kwa kupitia Frolida, Marekani na Humburg Ujerumani. Kati ya miche 1000, ni miche 62 tu ndiyo iliyofika Tanganyika na ilipandwa sehemu iitwayo Kikokwe huko Pangani Tanga. Mkonge ulisambaa maeneo mengi ya Tanganyika mpaka kufikia mwanzoni mwa miaka 1960 Tanganyika ilikuwa inaongoza kwa uzalishaji wa mkonge ikifatiwa na Brazil na mexico kwa mauzo ya tani 230,000 kwa mwaka nje ya nchi. Kutokana na sababu mbalimbali zilizojitokeza miaka ya 1970 uzalishaji ulipungua toka tani 230,000 hadi tani 19,700 kwa mwaka 1997. Hata ivyo mageuzi ya kiuchumi yaliyoanza miaka 1980 ambayo yalilenga katika ubinafisishaji na biashara huria , uhuru wa taasisi za kifedha za ndani na nje ya nchi yalifufua kilimo cha mkonge na hasa kukamilika kwa ubinafishaji mwaka 2005 uzalishaji umepanda hadi kufikia tani 40,000 mwaka 2015 hii inatokana na kuongezeka kwa mahitaji ya mkonge na bidhaa zake pamoja na kupanda bei kwenye soko la dunia pamoja na ndani. Soko kuu la mkonge wa Tanzania ni china, Saudi Arabia , India, Uhispania, Ujerumani, Uingereza, Kenya, Uganda na Nigeria. en_US
dc.description.sponsorship Jamii Foum en_US
dc.publisher Jamii Forum en_US
dc.subject Mikonge en_US
dc.title FAHAMU KUHUSU BIASHARA YA MKONGE NCHINI TANZANIA NA CHANGAMOTO ZAKE en_US
dc.title.alternative Mkonge en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu