Ghala la Mkulima

Kilimo bora cha soya.

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Shirika la chakula Duniani
dc.date.accessioned 2024-07-26T06:59:20Z
dc.date.available 2024-07-26T06:59:20Z
dc.date.issued 2024-04-12
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/891
dc.description Makala en_US
dc.description.abstract Maharagwe ya soya ni moja ya mazao muhimu katika jamii ya mikunde katika nyanja za uzalishaji wa kibiashara kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha protini (35-40%). Soya inatumika katika kuandaa vyakula vinavyoliwa vikiwa vibichi, vinavyovundikwa na vyakula nikavu, mfano maziwa, tofu, mchuzi pamoja na kimea. Soya hulimwa katika ukanda wa Ikweta. Soya hukomaa katika kipindi cha siku 180 (miezi 6) lakini inaweza kuwa na baadhi zinazokomaa mapema zaidi. Joto chini ya nyuzi joto 21 na juu ya 32 inaweza kuathiri ushavushaji na utengenezaji wa viriba. Na joto zaidi ya nyuzi 40 ni hasara kwa uzalishaji wa mbegu. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Shirika la chakula duniani en_US
dc.subject Soya en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.subject Maharage en_US
dc.title Kilimo bora cha soya. en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu