Ghala la Mkulima

Mwongozo Kuboresha Uzalishaji Mbegu Barani Afrika

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Communication Services, Centre for Language
dc.date.accessioned 2024-07-02T09:00:51Z
dc.date.available 2024-07-02T09:00:51Z
dc.date.issued 2020-05
dc.identifier.citation https://au.int/sites/default/files/documents en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/883
dc.description.abstract Upungufu wa virutubisho, ambao unaathiri watu bilioni mbili ulimwenguni, husababisha upofu, kinga dhaifu, ukuaji wa mwili na utambuzi, kutokwa na damu wakati wa kujifungua, na shida nyinginembaya za kiafya. Hili "janga lililofichwa" limeathiri vibaya mamilioni ya wanawake na watoto barani Afrika. Karibu nusu ya watoto wa Kiafrika walio chini ya miaka mitano wanakabiliwa na upungufu wa vitamini A; 60% wanakabiliwa na upungufu wa damu, mara nyingi husababishwa na upungufu wa chuma; na 25% ni upungufu wa zinki. (Hivi virutubisho vitatu vinatambuliwa na Shirika la Kimataifa la Afyakuwamuhimuzaidi kwa afya). Kulingana na Benki ya Dunia (2018), nchi binafsi za Kiafrika hupoteza mamilioni kadhaa ya dola kila mwaka kwa sababu ya upungufu wa vitamini na madini. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Umoja Wa Afrika en_US
dc.subject Mwongozo en_US
dc.subject Barani Afrika: en_US
dc.subject Uzalishaji Mbegu en_US
dc.subject Kuboresha en_US
dc.title Mwongozo Kuboresha Uzalishaji Mbegu Barani Afrika en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu