xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Mamlaka ya chakula na lishe. | |
dc.date.accessioned | 2024-04-22T08:38:16Z | |
dc.date.available | 2024-04-22T08:38:16Z | |
dc.date.issued | 2018-03-09 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/855 | |
dc.description | Jarida | en_US |
dc.description.abstract | Virutubishi mchanganyiko vinapotumiwa na watoto havileti madhara, lakini vinaweza kusababisha maudhi madogo madogo, mfano: Kuharisha kwa muda mfupi: Baadhi ya watoto hupata tatizo la kuharisha kwa muda mfupi baada ya kuanza kutumia virutubishi mchanganyiko. Hali hii hudumu kwa kipindi kifupi tu kwani mtoto hurejea katika hali ya kawaida baada ya siku kadhaa. Inapojitokeza hali hiyo, mtoto anywe maji kwa wingi na aendelee kutumia chakula kilichoongezwa virutubishi mchanganyiko. | en_US |
dc.description.sponsorship | Serikali ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Mamlaka ya chakula na lishe | en_US |
dc.subject | Virutubisho Mchanganyiko | en_US |
dc.subject | Watoto | en_US |
dc.subject | Miezi sita ya mwanzo | en_US |
dc.subject | Miaka mitano | en_US |
dc.title | Virutubishi mchanganyiko kwa watoto wenye umri wa miezi sita hadi miaka mitano. | en_US |
dc.title.alternative | ;Majibu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara | en_US |
dc.type | Article | en_US |