Ghala la Mkulima

Mihogo inaweza kutumika kupunguza gharama ya juu ya chakula

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Shirika la chakula Duniani
dc.date.accessioned 2024-02-23T09:52:52Z
dc.date.available 2024-02-23T09:52:52Z
dc.date.issued 2022-05-22
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/822
dc.description Jarida en_US
dc.description.abstract Kuna mboga kuu mbili za mizizi katika Afrika Magharibi - mihogo na viazi vikuu au magimbi. Muhogo unapatikana mwaka mzima, ni wa bei nafuu na unajulikana, au tukisema kwa usahihi, ulijulikana kuwa chakula cha maskini. Nyingine maarufu ni viazi vikuu, ambayo mwandishi wa Nigeria Chinua Achebe alitaja kama "mfalme wa mazao". Mavuno ya magimbi yanasubiriwa kwa hamu. Hakika, ibada maalum hufanywa kabla ya magimbi kuvunwa na kuliwa, na tunavaa nguo zetu bora zaidi ili kusherehekea zao hilo. Muhogo ni chakula bora cha kila siku na kilikuwa kama chakula cha kawaida cha maskini na watumishi. Ninaona kuwa Rais Yoweri Museveni wa Uganda anawataka watu wake kugeukia mlo wa mihogo kama dawa ya kuporomoka kwa bei ya ngano wakati huu ambapo gharama ya maisha duniani kote imepanda . en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Shirika la chakula duniani en_US
dc.subject Mihogo en_US
dc.subject Chakula en_US
dc.subject gharama en_US
dc.title Mihogo inaweza kutumika kupunguza gharama ya juu ya chakula en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu