xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Shirika la chakula Duniani
dc.date.accessioned 2024-02-23T06:36:39Z
dc.date.available 2024-02-23T06:36:39Z
dc.date.issued 2020-04-09
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/799
dc.description Jarida en_US
dc.description.abstract Utafiti mwingi juu ya pilipili umeonyesha namna pilipili inavyoweza kuathiri afya, lakini matokeo ni mchanganyiko Viungo kwenye chakula vimekuwa vikitumiwa kwa miaka mingi sana. Binzari' Turmeric' na pilipili zimefanyiwa utafiti katika miongo ya hivi karibuni... Lakini je huwa tunatumia viungo hivyo ipasavyo kwa ajili ya afya zetu au la?Na faida za viungo hivyo ni zile ambazo unahisi.Viungo vimekuwa sehemu ya milo yetu ya kila siku maelfu ya miaka ,tumezoea kula viazi vya kukaanga na pilipili, tangawizi kwenye chai na kuongeza kwenye mlo.Lakini hivi karibuni, baadhi ya viungo ambavyo vimekuwa vinatajwa kuwa tiba ya baadhi ya magonjwa ingawa hakuna tangazo rasmi linalothibitisha hoja hiyo.Binzari imekuwa ikitumika katika maeneo ya bara la Asia kwa millennia.Katika utafiti wa mwaka 2014 , haijawekwa wazi bado kuwa utumiaji wa viungo una faida za kiafya en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Shirika la chakula duniani en_US
dc.subject Viungo en_US
dc.subject Chakula en_US
dc.subject Mapishi en_US
dc.title Viungo vya chakula en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu