xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Shirika la chakula Duniani | |
dc.date.accessioned | 2024-02-21T05:09:38Z | |
dc.date.available | 2024-02-21T05:09:38Z | |
dc.date.issued | 2022-07-22 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/795 | |
dc.description | Jarida | en_US |
dc.description.abstract | Kwa watu wengi wa Ulaya na Marekani, wazo la kula senene na panzi linaweza kuonekana kuwa la kuchukiza, lakini ni vitafunwa maarufu katika sehemu za Afrika na Asia. Sio tu kwamba wamejaa virutubisho lakini pia hawana madhara kwa hali ya hewa pia. Hewa katika nyumba ya familia moja nchini Uganda imejaa harufu ya kipekee, isiyofanana na harufu ya nyama ya ng'ombe iliyochomwa. Ilikuwa Desemba 2000 na Maggie, alikuwa anakaanga wadudu jamii ya panzi. Kadiri alivyowachochea wadudu hao wa kijani kibichi, kama nzige, ndivyo harufu yake ilivyozidi kuwa yenye nguvu. Walipokuwa wakikaangwa na mvuke ukipanda kutoka kwenye sufuria inaleta msisimko. Haikuwa mara yake ya kwanza wa kula wadudu hao aliwala mara kwa mara wakati wa utoto nchini Uganda, ni watamu wenye lishe na vitafunwa vinavyotafutwa sana. Katika mwaka huo wa 2000, alivuna wadudu hao jamii ya panzi kwa mara ya kwanza. Wadudu hawa, ambao huzaliana karibu na Ziwa Victoria Afrika mashariki, hutoka kwa makundi usiku na kutua kwenye nyasi zenye umande karibu na nyumba yao alfajiri. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Shirika la chakula duniani | en_US |
dc.subject | Senene | en_US |
dc.subject | Panzi | en_US |
dc.subject | Nyama ya ngombe | en_US |
dc.title | Tumia panzi au senene badala ya nyama ya ngombe | en_US |
dc.type | Article | en_US |