xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Shirika la chakula Duniani | |
dc.date.accessioned | 2024-02-20T10:40:56Z | |
dc.date.available | 2024-02-20T10:40:56Z | |
dc.date.issued | 2022-05-22 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/792 | |
dc.description | jarida | en_US |
dc.description.abstract | Wanasayansi wameandaa orodha ya mimea ambayo inaweza kuwa sehemu muhimu ya lishe yetu mnamo mwaka 2050, lakini sasa haijulikani. Katika siku zijazo, tunaweza kuwa tunakula ndizi za kutengenezwa au tunda la mti wa pandunus kama kifungua kinywa cha asubuhi.Vita nchini Ukraine vimeashiria ongezeko la hatari la njaa kwani inaangazia mazao machache ambayo yanaweza kusambazwa duniani kote. Takriban asilimia 90 ya kalori ulimwenguni hutoka kwa aina 15 za nafaka. Kwa hivyo wataalamu katika bustani ya Royal Botanic ya London huko Queens wanatafuta mazao yanayofaa kwa siku zijazo. Pia kuna hatari kwamba uzalishaji wa chakula utapungua kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa na bei ya chakula kupanda. Ili kupambana na njaa na kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa, tunahitaji kupanua wigo wa chakula. Anafafanua San Pierre. "Watu duniani kote hula maelfu ya aina za mimea na ni katika mimea hii tunaweza kupata ufumbuzi wa changamoto za chakula kwa siku zijazo," alisema. Kati ya zaidi ya mazao 7,000 yanayoliwa duniani kote, ni aina 417 pekee zinazolimwa kwa ajili ya chakula. Nini kinaweza kuwa chakula cha siku zijazo? | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Shirika la chakula duniani | en_US |
dc.subject | 2050 | en_US |
dc.subject | Orodha ya vyakula | en_US |
dc.title | Orodha ya vyakula vitakavyoliwa mwaka 2050 | en_US |
dc.type | Article | en_US |