Ghala la Mkulima

Mbinu kuu za kilimo cha mboga

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author BERAFOOT INTERNATIONAL LTD
dc.date.accessioned 2023-08-25T09:07:03Z
dc.date.available 2023-08-25T09:07:03Z
dc.date.issued 2023
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/708
dc.description.abstract Matayarisho na uendeshaji wa kitalu cha mboga Kitalu ni nini? Kitalu ni mahali ambapo miche huoteshwa na kutunzwa kabla ya kupandikizwa Kwenye bustani au shambani Kwenye mashimo. Mavuno mazuri ya kilimo cha mboga na matunda utategemea sana matunzo bora ya miche kuanzia hatua ya kitalu kwa sababu kitalu ni sehemu mama katika uzalishaji wa miche. Mkulima anapaswa awe mwangalifu katika kuchagua mahali pazuri pa kuweka kitalu. Pamoja na kuwa mwangalifu katika kuchagua eneo linalofaa vile vile mkulima afahamu mbinu za kutayarisha na kutunza miche Kwenye kitalu. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Sokoine university of agriculture en_US
dc.subject Mboga en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.subject Mbinu en_US
dc.title Mbinu kuu za kilimo cha mboga en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu