Kitinoja, L; Kader, A. A
(Kituo cha Utafiti na Habari za Tekinolojia za Baada ya Kuvuna, Chuo Kikuu cha California, Davis, 2003)
Licha ya kutumia kiwango cha kisasa cha teknolojia husika, utunzaji fanisi baada ya kuvuna ni jambo muhimu katika kufikia lengo linalokusudiwa. Wakati wazalishaji wa kiwango kikubwa wananufaika kwa utumiaji wa tekinolojia ...