Kwa ufupi:
MKUHUMI ni mradi ulioibuliwa na Umoja wa Mataifa kwa madhumuni ya kuthibiti ukataji wa miti ili kusadia kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi. Ili miisitu iweze kukaa bila ya kukatwa inabidi baadhi ya watu hasa maeneo ya vijijini, wapunguze matumizi ya nishati ya kuni na mkaa pamoja na matumizi ya mbao. Kitabu kinaelezea jinsi ya utafiti ulivyofanya na jinsi ya malipo kwa wale watakaoshiriki katika MKUHUMI.