Mwandishi Hajulikani (Kituo cha Utafiti wa Kilimo, Mikocheni & Kituo cha Ut afiti wa M azao Uyole, 2003)
Kipeperushi kinachoelezea mbolea ya Minjingu kama ni mbolea asilia ya kupandia. Mbolea hii inatokana na miamba inayochimbwa katika eneo la Minjingu mkoani Manyara ambayo husagwa na kufungashwa kwenye kiwanda kilichojengwa ...