Ghala la Mkulima

Tathmini ya Hali ya Lishe, Unasihi na Huduma za Lishe (NACS) - KITABU CHA MWEZESHAJI Mafunzo kwa Watoa Huduma katika Ngazi ya Jamii

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2019-02-19T07:07:46Z
dc.date.available 2019-02-19T07:07:46Z
dc.date.issued 2017
dc.identifier.isbn 978-9976-910-93-3
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/448
dc.description.abstract Lishe ina uhusiano mkubwa na afya. Lishe duni au utapiamlo unaotokana na ulaji duni na maradhi ni mojawapo ya matatizo makubwa ya afya nchini Tanzania. Utapiamlo unawaathiri zaidi watoto wenye umri chini ya miaka mitano na akina mama walio katika umri wa kuzaa hasa wajawazito na wanaonyonyesha. Utapiamlo kwa wanawake wajawazito na wanaonyonyesha unaweza kusababisha madhara ya muda mrefu kwa watoto wao. Pia, utapiamlo unahusishwa na magonjwa sugu kama vile kifua kikuu (TB) na UKIMWI, ambayo ni matatizo makuu hapa nchini Tanzania. Upungufu wa lishe katika kipindi cha miaka miwili (siku 1,000) ya mwanzo ya maisha ya mtoto unahusishwa na maradhi, vifo na uchelewaji wa ukuaji wa mwili na maendeleo ya akili. Upungufu huo unaweza kuathiri utendaji wa akili, matokeo ya uzazi, afya na tija ya kiuchumi wakati wa utu uzima. Watoto wachache tu wenye utapiamlo pamoja na watu wazima wametambuliwa na kutibiwa kwa kupitia vituo vya kutolea huduma ya afya. Lakini wengi wa watu hawa wakisha ruhusiwa toka vituo vya kutolea huduma ya afya baada ya kutibiwa utapiamlo huwa hawarejei tena kwa ajili ya ufuatiliaji. Watoa huduma katika ngazi ya jamii watasaidia katika kuimarisha utoaji wa huduma kati ya vituo vya kutolea huduma ya afya na jamii ili watu wenye utapiamlo waweze kutambuliwa, kutibiwa na kufuatiliwa mapema na hivyo kuboresha hali zao za lishe, kugundua dalili za utapiamlo mapema na kuepuka maambukizi. Shughuli hizi zitaimarisha mwendelezo wa utoaji wa huduma kati ya vituo vya kutolea huduma ya afya na jamii. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania en_US
dc.subject Lishe en_US
dc.subject Chakula en_US
dc.subject Afya en_US
dc.title Tathmini ya Hali ya Lishe, Unasihi na Huduma za Lishe (NACS) - KITABU CHA MWEZESHAJI Mafunzo kwa Watoa Huduma katika Ngazi ya Jamii en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu