Ghala la Mkulima

Jarida la Umasikini na Mazingira - Toleo Na. 6 Jan - June 2009

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2019-02-11T08:05:44Z
dc.date.available 2019-02-11T08:05:44Z
dc.date.issued 2009
dc.identifier.issn 0821-6528
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/401
dc.description.abstract Jarida hili linatolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais (OMR), Idara ya Mazingira kwa ufadhili wa Mradi wa Umaskini na Mazingira kwa lengo la kutoa elimu na kujenga uelewa wa jamii na wadau mbalimbali kuhusu uhusiano uliopo kati ya umaskini na mazingira. Taarifa na makala zilizochapishwa katika jarida hili ni: Juhudi za Kuondoa Umaskini kwa wakazi wa Jiji la Dar zitabaki kuwa Ndoto Kama Uchafuzi wa Mazingira hautadhibitiwa!!! • Katibu Mkuu Atembelea Mbeya na Kupongeza Jitihada za Utunzaji wa Mazingira; • Kupunguza Gesijoto Kupitia Kudhibiti Ukataji Miti Na Uharibifu Wa Misitu Katika Nchi Zinazoendelea; • Utunzaji wa Mazingira Wasaidia Vijana Kujitegemea; • Tuzo ya Rais ya Uongozi na Ubora wa Hifadhi ya Mazingira katika Uchimbaji Madini kuchangia Juhudi za uchimbaji endelevu Tanzania; en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Ofisi ya Makamu wa Rais (OMR), Idara ya Mazingira kwa ufadhili wa Mradi wa Umaskini na Mazingira en_US
dc.subject Mazingira en_US
dc.subject Umasikini en_US
dc.title Jarida la Umasikini na Mazingira - Toleo Na. 6 Jan - June 2009 en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu