Ghala la Mkulima

Upandaji wa mimea tofauti tofauti: Mwongozo wa nyanjani

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Ramezanpour, C
dc.contributor.author Kamau, M. N
dc.contributor.author Nguma, B
dc.contributor.author Muinde, T
dc.contributor.author Chai, E. C
dc.contributor.author Karisa, T
dc.date.accessioned 2018-12-19T08:09:43Z
dc.date.available 2018-12-19T08:09:43Z
dc.date.issued 2005
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/386
dc.description.abstract Kenya ina maeneo mengi tofauti tofauti. Jimbo la kati ni baridi, kule mkoa wa Nyanza kuna mvua nyingi, kuna jangwa kaskazini, na hapa pwani ni joto sana. Kila eneo lina sifa maalum – hali ya hewa, hali ya joto, kiasi cha mvua, na udongo. Kwa sababu hiyo kila eneo lina faida tofauti tofauti shambani. Ustawi wa kilimo hapa Kilifi utategemea uwezo wa wakulima. Ni bora watambue faida na nafasi ya ardhi. Kwa mfano: 1. Mimea gani hufanya vizuri hapa? 2. Wakulima wanaweza kukuza mimea gani hapa kupita maeneo mengine? 3. Mimea gani tunaweza kupanda ambayo wale wa sokoni wanataka kununua? 4. Mimea ipi inastahimili kiangazi? 5. Mimea ipi ina uhitaji wa juu katika soko? Tutaona uwezekano mkubwa wa shamba wakati zile taratibu za kulima zinatumia kikamilifu sifa ya ardhi yake. Hili wazo ni msingi ya Upandaji wa Mimea Tofauti Tofauti (Crop Diversification). en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Coast Development Authority - Kenya en_US
dc.subject Mazao mchanganyiko en_US
dc.subject Mimea en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.title Upandaji wa mimea tofauti tofauti: Mwongozo wa nyanjani en_US
dc.title.alternative Crop Diversification en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu