Ghala la Mkulima

Mwongozo wa Mafunzo ya Usindikaji wa Nafaka za Jamii Kunde: Ongezeko la Thamani kwa Maharagwe, kunde , Karanga na Soya kwa Wakulima Wadogo Barani Afrika

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-11-22T08:58:10Z
dc.date.available 2018-11-22T08:58:10Z
dc.date.issued 2011
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/377
dc.description.abstract Ukulima wa maharagwe, kunde, karanga na maharagwe soya una faida nyingi kama vile kuweka naitrojeni kutoka hewani na kuboresha rutuba ya udongo. Ø Nafaka za jamii kunde zina protini kiwango cha juu na zaweza kutayarishwa ili kupata vyakula vyenye virutubisho zinazosaidia kukamilisha vyakula vya aina ingine. Ø Mchanganyiko wa nafaka kuu (k.v. mchele, mtama, mbaazi na mahindi) na jamii kunde ziwe kwa uwiano wa 70:30 ili kufikia kiwango kinachohitajika cha amino asidi. Ø Sifa na jinsi ya kutayarisha na kupika nafaka za jamii kunde nne muhimu wakati zinapopikwa zimeelezwa. Muhimu pia kwa mapishi ya nafaka hizi ni uzito na ujazo (ml) hivyo elimu kuhusu zana za vipimo imetolewa kwa njia rahisi ya kutumia vikombe na vijiko vya kawaida. Ø Kijitabu hiki kinasaidia watu wa mashinani Afrika kuboresha ufahamu wa kuandaa chakula cha nafaka za jamii kunde. Ø Kimetoa elimu ya utunzaji na maandalizi ya nafaka baada ya kuvuna, jinsi ya kulinda ubora wa nafaka ili kufikia viwango vilivyowekwa na viwanda hivyo kuongeza faida ya mazao na kusababisha nguvu kiuchumi na ustawi vijijini. Ø Vyombo muhimu na jinsi ya kuzitumia ili kuhakikisha ubora wa nafaka za jamii kunde baada ya kuvunwa na kabla zipelekwe sokoni pia zimeelezwa kwa kina. Ø Aidha kuna habari juu ya utungaji wa lishe ya jamii kunde hizi, jinsi ya kuzisindika ili kutoa mapishi ya thamani bora kutumia mbinu kadhaa na rahisi kutayarisha pamoja na taratibu na sheria za ugombea upishi. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Tropical Soil Biology and Fertility Institute ya International Centre for Tropical Agriculture (CIAT-TSBF) en_US
dc.subject Usindikaji en_US
dc.subject Mazao jamii ya kunde en_US
dc.subject Maharage en_US
dc.subject Soya en_US
dc.subject Kunde en_US
dc.subject Mikunde en_US
dc.title Mwongozo wa Mafunzo ya Usindikaji wa Nafaka za Jamii Kunde: Ongezeko la Thamani kwa Maharagwe, kunde , Karanga na Soya kwa Wakulima Wadogo Barani Afrika en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu