Ghala la Mkulima

Mfumo wa stakabadhi wa maghala Tanzania

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-10-18T08:53:54Z
dc.date.available 2018-10-18T08:53:54Z
dc.date.issued 2000
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/365
dc.description.abstract Mfumo wa Stakabadhi za Maghala ni mfumo unaotumika nchini wa kutumia bidhaa zilizohifadhiwa kwenye maghala badala ya mali zisizohamishika kuwa dhamana ya kupata mikopo kutoka asasi za fedha. Mfumo kama huu pia unatekelezwa nchi nyingine za bara la Afrika pamoja na mabara ya Ulaya na Amerika. Kwa kufuata mfumo huu wakulima wadogo na wakati wakiwa kwenye Ushirika au Vikundi vya wakulima wanakuwa na nguvu ya soko na kuingia katika soko la ushindani ambalo ingekuwa vigumu kutokana na kukosekana kwa mitaji. Pia mfumo huu unasaidia kuzuia upotevu wa mazao unaotokana na uhifadhi dhaifu, kuhifadhi mazao ili kusubiri kuuza wakati muafaka na pia kuongezea bidhaaa thamani kabla ya kuziuza. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Warehouse Receipts Regulatory Board en_US
dc.subject Ghala en_US
dc.subject Hifadhi en_US
dc.subject Soko en_US
dc.subject Mazao en_US
dc.title Mfumo wa stakabadhi wa maghala Tanzania en_US
dc.type Technical Report en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu