Ghala la Mkulima

Tekinolojia endelevu: Mafunzo kutoka Mbozi na Njombe

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-09-20T07:48:29Z
dc.date.available 2018-09-20T07:48:29Z
dc.date.issued 2003
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/270
dc.description.abstract Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula (MAFS), pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogo wadogo Tanzania. Lengo mojawapo katika mradi huu ni kuimarisha uhusiano kati ya Wakulima, Watafiti na Washauri wa Ugani. IIi kufikia lengo hili, mradi umepanga utaratibu wa kuwawezesha wakulima kutembeleana ndani ya kanda zao na kati ya kanda na kanda. Makala hii inawasilisha ripoti ya ziara iliyofanyika mwezi Agosti 2003. Ziara hii iliwashirikisha wakulima, wagani na watafiti kutoka Kanda ya Mashariki na kanda ya Nyanda za Juu Kusini ikijumuisha Manispaa ya Morogoro, wilaya za lringa na Mbarali. Wanaziara hawa waliwatembelea wakulima wa wilaya za Mbozi na Njombe ili kuona na kujifunza zaidi kuhusu teknolojia muhimu ambazo tayari wameazimia kuzitekeleza mara watakaporudi nyumbani kwao. Taarifa hii pia inapatikana katika lugha ya Kiingereza. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher TARP II Project - SUA en_US
dc.subject Tekinolojia en_US
dc.subject Mafunzo en_US
dc.title Tekinolojia endelevu: Mafunzo kutoka Mbozi na Njombe en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu