Ghala la Mkulima

Usindikaji wa muhogo: Utengenezaji wa rale - ongeza thamani na ubora wa bidhaa ya muhogo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-07-04T08:04:48Z
dc.date.available 2018-07-04T08:04:48Z
dc.date.issued 2004
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/248
dc.description.abstract Muhogo ni moja ya mazao ya mizizi hapa Tanzania na nchi nyinqi za Africa. Muhogo una wanga mwingi. Zao hili hustahimili ukame na hivyo husaidia sana katika harakati za kupambana na njaa hasawakati wa ukame. Pamoja na umhimu wake, muhogo huharibika upesi sana. Mara baada ya kuvunwa muhogo huweza kuharibika ndani ya siku tatu au nne na kutofaa kwa matumizi ya binadamu. Pia usafirishaji wa muhogo kutoka sehemu moja hadi nyingine ni mgumu na wa gharama kubwa. Hii inatokana na mihogo kuwa na kiasi kikubwa cha maji. Mambo haya husababisha hasara kubwa kwa mkulima. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Idara ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia, Chuo Kikuu cha Sokoine cha kilimo - SUA en_US
dc.subject Muhogo en_US
dc.subject Rale en_US
dc.subject Usindikaji en_US
dc.title Usindikaji wa muhogo: Utengenezaji wa rale - ongeza thamani na ubora wa bidhaa ya muhogo en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu