Ghala la Mkulima

Tathmini ya mfumo wa utoaji wa pembejeo za kilimo kwa wakulima kupitia ruzuku Tanzania

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-07-03T10:07:38Z
dc.date.available 2018-07-03T10:07:38Z
dc.date.issued 2013
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/241
dc.description.abstract Mojawapo ya kikwazo kikubwa kinachomkwamisha mkulima mdogo kulima kwa tija ni kumudu gharama za matumizi ya pembejeo za kilimo (mbolea na mbegu bora). Katika kuhakikisha Serikali ya Tanzania inamsaidia mkulima kumudu gharama hizo, mwaka 2008/2009 Serikali ilianzisha na kutekeleza utaratibu wa kuwapatia wakulima pembejeo za kilimo kwa njia ya ruzuku kwa kupitia mfumo wa vocha (National Agricultural Inputs Voucher System - NAIVS). Katika kufuatilia ufanisi wa mpango huu, utafiti umefanywa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), chini ya mradi wa Enhancing Pro-poor Innovation in Natural Resources and Agricultural Value Chains (EPINAV). en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher EPINAV - SUA en_US
dc.subject Mbolea en_US
dc.subject Pembejeo en_US
dc.subject Ruzuku en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.title Tathmini ya mfumo wa utoaji wa pembejeo za kilimo kwa wakulima kupitia ruzuku Tanzania en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu