Ghala la Mkulima

Majaribio kuhusu uhifadhi wa nafaka kijiji cha Mlali

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-06-22T08:31:35Z
dc.date.available 2018-06-22T08:31:35Z
dc.date.issued 2014
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/206
dc.description.abstract Wakulima wengi Tanzania wanapata hasara kubwa inayosababishwa na wadudu waharibifu wa mazao yanapohifadhiwa kwenye maghala. Uharibifu huu unatishia uhakika wa chakula kwa kaya. Kaya zingine zina uwezo wa kununua madawa ya kuulia wadudu, lakini madawa haya yana gharama kubwa na yaweza kuwa na madhara kwa afya zao, (na kama yakiwa yameharibika huwa hayafai kwa matumizi). Mradi huu umebuniwa kutafiti ubunifu kwa ajili ya wakulima kuhusu matumizi ya madawa asilia ya “diatomaceous earths” (vumbivumbi linalotokana na masalia ya zamani ya viumbe wa majini), katika kuhifadhi mazao kama njia mbadala vijijini. Kwa njia hiyo watafiti watawajibika kwanza kufanya majaribio na kulinganisha uwezo wa madawa mbalimbali katika zoezi zima la kudhibiti wadudu waharibifu wa nafaka, ziwapo ghalani. Awali, majaribio haya linganifu yatafanywa kwa kipindi cha miezi 8 kuendana na msimu wa kuhifadhi mazao, kuanzia Julai 2002 hadi Machi 2003. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Wizara ya Kilimo na Chakula, Tanzania en_US
dc.subject Mahindi en_US
dc.subject Hifadhi en_US
dc.subject Mlali en_US
dc.subject Tanzania en_US
dc.title Majaribio kuhusu uhifadhi wa nafaka kijiji cha Mlali en_US
dc.type Presentation en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu