Ghala la Mkulima

Mwongozo wa uendelezaji endelevu wa biofueli kimiminika Tanzania

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-06-22T08:31:09Z
dc.date.available 2018-06-22T08:31:09Z
dc.date.issued 2010-11
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/204
dc.description.abstract Katika miaka ya karibuni, uendelezaji wa biofueli umekuwa ni agenda ya kawaida duniani kote. Fueli zimiminikazo ambazo zinatokana na tungamotaka zinathibitisha kuwa mbadala wa fueli za fosili hususani bidhaa za petroli katika hali ya mafuta ya petroli na dizeli. Hivyo, biofueli zinaweza kutumika katika kupikia, kutoa mwanga, kuzalisha umeme na kuendeshea vyombo vya usafiri. Biofueli kwa ufafanuzi ni fueli zitokanazo na tungamotaka na zinaweza kuwa katika hali ya yabisi, gesi na kimiminika. Biofueli yabisi ni pamoja na mkaa na kuni; biofueli gesi ni biogesi, gesi inayozalishwa katika madampo yaliyofukiwa na udongo, n.k, na biofueli kimiminika inajumuisha mafuta yanayotokana na mbegu za mimea au mimea yenyewe kama, ethano na biodizeli. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Wizara ya Nishati na Madini, Tanzania en_US
dc.subject Biofueli en_US
dc.subject Mbegu za mafuta en_US
dc.subject Udongo en_US
dc.subject Nishati en_US
dc.subject Kuni en_US
dc.subject Mkaa en_US
dc.title Mwongozo wa uendelezaji endelevu wa biofueli kimiminika Tanzania en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu