Ghala la Mkulima

Muongozo wa utunzaji bora wa mashamba ya miti ya wananchi

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Malimbwi, Rogers E
dc.contributor.author Zahabu, Eliakimu
dc.contributor.author Katani, Josiah
dc.contributor.author Mugasha, Wilson
dc.contributor.author Mwembe, Uhuru
dc.date.accessioned 2017-08-31T06:43:15Z
dc.date.available 2017-08-31T06:43:15Z
dc.date.issued 2012-01
dc.identifier.issn 978-9987-640-56-0
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/17
dc.description.abstract Upandaji wa miti nchini Tanzania umekuwa ukisisitizwa kwa miongo kadhaa lakini kukubalika kwa shughuli hizi kumekuwa hakuridhishi. Tofauti na watu wa sehemu nyingine za nchi, watu wa Wilaya ya Makete wamehamasika kupanda miti kutokana na hali mbaya ya hewa na ukosefu wa rutuba kwenye udongo sababu ambazo zilisababisha mazao duni ya kilimo. Pia kwa muda mrefu, wananchi wa Wilaya ya Makete wameshajua umuhimu wa miti kwa kuwa kwa kiasi kikubwa mauzo ya miti na mbao yanachangia kipato cha wakulima. Kabla ya kujikita kwenye kilimo cha miti, kipato cha wananchi wa Wilaya ya Makete kilitegemea zaidi mazao ya kilimo kama vile mahindi, ngano, mchele, viazi miviringo na pareto. Lakini kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, uzalishaji wa mazao hayo umepungua kwa kiasi kikubwa na wakati mwingine kusababisha tishio la njaa. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Climate Change Impacts, Adaptation and Mitigation Programme - CCIAM en_US
dc.subject Miti en_US
dc.subject Utunzaji en_US
dc.subject Mashamba en_US
dc.subject Wakulima en_US
dc.subject Tabianchi en_US
dc.subject Makete en_US
dc.title Muongozo wa utunzaji bora wa mashamba ya miti ya wananchi en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu